Browse

Doris Irish Lacks MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU: Furaha na huzuni kwenye maisha
by Doris Irish Lacks
£23.26
GTIN09781479611850
EAN9781479611850
MPN9781479611850
Prices updated 1 Sept 2026
Compare 1 Retailer
Prices checked 5d ago
£23.26
Best PriceAmazon
Check live price on Amazon.co.uk
eBay
Check availability and price on eBay.co.uk. Yorkshire.com may be paid for purchases made through this link, by eBay Partner Network.
Can’t find it elsewhere?
Product Description
Mahali fulani mashariki ya kati, sanduku la dhahabu la maajabu lilifichwa kutoka kwenye macho ya binadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna anayejua sehemu lilipo, lakini wengi walilitafuta, wakitumai kuwa mmoja wa watakaotatua siri Liko wapi sanduku la agano?Hadithi ya safina ilianza, sio wakati inatengezwa chini ya maelekezo ya Musa kwenye jangwa, lakini mbinguni, katikati ya vita kati ya shetani na Mungu. Matunda ya vita ilikuwa ni dunia iliyoanguka, majibu ya wokovu wetu ni sehemu ya sababu safina kutengenezwa. Yaliyomo ndani ya sanduku la agano ni kitovu cha maisha yaliyojazwa kwa neema ya Kristo. Siku moja, wakati Yesu atakapokuja tena na kuonyesha sehemu iliyofichwa safina, maajabu ya muda mrefu yatatatuliwa. Lakini, kwa wakati huu, hapa kwenye hadithi ya safina ya dhahabu, na vitu vyake maalumu vilivyomo, na matokeo yake, sio tu kwa wale walioiona lakini kwa wale kati yetu watakaokuwepo humu duniani wakati wa mwisho. | Doris Irish Lacks MAAJABU YA SANDUKU LA DHAHABU: Furaha na huzuni kwenye maisha
More products from Debenhams
Browse their full range on Yorkshire.com
Popular in Print Books
Browse all Print BooksWhat You're Buying
What Yorkshire.com visitors have been buying recently
From£23.26Debenhams UK
Buy Now










